Mahitaji ya mazao ya viungo ya kilimo hai yanazidi kuongezeka duniani kote na yanatarajiwa kuongezeka maradufu ndani ya miaka mitano ijayo.
Mazao ya viungo yana faida kubwa kulinganisha na mazao mengine ya kilimo hai, kwa wakulima hii inawahamasisha sana. Mafunzo haya yana waandaa washiriki kukidhi viwango vya masoko ya mazao ya kilimo hai na kuzalisha mazao kama mdalasini, pilipili manga, karafuu, binzari manjano na tangawizi.
Utajifunza yafuatayo;
Malengo ya Kozi;
Kozi 2025
Tafadhali kumbuka kuwa ratiba yetu ya mafunzo inaweza kubadilika kwa sababu ya mahudhurio tofauti ya kozi. Ili kuthibitisha tarehe za kozi, wasiliana nasi kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
Ada ya Mafunzo: TZS 500,000 kwa kila mshiriki
(KUMBUKA: kila kitu kingine ni sawa na katika kozi ya kwanza)
STAY TUNED: Training of Trainers – A Cost-Efficient Solution
We are planning to establish a training of trainers-course on organic spice production. Our goal is to build up your capacity to work in the field and give your best to your participants, learn how to prepare, conduct, and evaluate sessions, and make your training compulsive and participatory. Let us help you realize your full potential as a trainer or facilitator.
Subscribe to our newsletter to stay updated!
Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.