Je! Unajua nguvu ya mimea?
Tanzania ina utajiri mkubwa wa mimea ambayo inaweza kutumika kama dawa asilia. Dk Feleshi kutoka ANAMED Tanzania atatoa mafunzo jinsi ya kutumia mimea hii. Kozi hii inakupa misingi ya ulimaji, uaandaji na utumiaji wa mimea dawa.
Vile vile unaweza kuanzisha biashara yako mwenyewe ya vipodozi.
Utajifunza yafuatayo;
Malengo ya Kozi
Kozi 2025
Tafadhali kumbuka kuwa ratiba yetu ya mafunzo inaweza kubadilika kwa sababu ya mahudhurio tofauti ya kozi. Ili kuthibitisha tarehe za kozi wasiliana nasi kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
Ada ya Mafunzo: TZS 550,000 kwa kila mshiriki
Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.