Kilimo ikolojia hutumia rasilimali za asili ili kwa uzalishaji wa chakula bora na mifugo.
Kilimo ikolojia hutumia rasilimali za asili ili kwa uzalishaji wa chakula bora na mifugo. Ni teknolojia mpya inayojenga mazingira kama ilivyo mfumo endelevu wa uhifadhi wa Bayo anuwai na misitu ambao umekamilika kwa vitu vitatu (madini, viumbe hai na rasilimali hai). Ni mafunzo ya siku 10, yanayojumuisha mbinu bora za uzalishaji, uandaaji na matumizi ya mboji, uandaaji viatilifu asilia kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kirahisi katika mazingira yetu na kwa gharama nafuu.
Washiriki wanafundishwa kuongeza virutubishi vya udongo na jinsi ya kuzalisha chakula bora kwa afya ya mlaji na faida kwa mkulima.
Utajifunza yafuatayo;
Malengo ya Kozi;
After participating in this training, participants should be able to use many of the following techniques…
Kozi 2025
Tafadhali kumbuka kuwa ratiba yetu ya mafunzo inaweza kubadilika kwa sababu ya mahudhurio tofauti ya kozi. Ili kuthibitisha tarehe za kozi wasiliana nasi kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
Ada ya Mafunzo: TZS 600,000 kwa kila mshiriki
(KUMBUKA: kila kitu kingine ni sawa na katika kozi ya kwanza)
Jisajili sasa kwa kozi zetu za mafunzo na upate ujuzi muhimu katika kilimo endelevu! Tafadhali jaza fomu hapo chini na taarifa zako za mawasiliano, chagua kozi unayotaka kuhudhuria na tarehe unayopendelea. Chaguo la malipo linapatikana wakati wa usajili.