Check out the news -> an article in Swahili about the potential of organic agriculture and activities of Sustainable Agriculture Tanzania (SAT)
3.5.2013 Majira – Kilimo Hai kukuweza kwa teknolojia
“Sekta ya kilimo hai inakua kwa kasi nchini na duniani; na tunashuhudia jinsi ambavyo watu wanatafuta vyakula vilivyolimwa bila kutumia sumu wala mbolea za chumvichumvi”